
Historia ya Mtume Muhammad
historia-ya-mtume-muhammad
About App
Hii ni historia ya Mtume S.A.W katika harakati za kulingania dini. Historia hii imeangalia kwa ufupi juu ya Maisha ya Mtume katika harakati zake za kulingania uislamu. historia hii imeangalia hasa kuhusu namna amavyo Mtume Muhammad s.a.w alipambana kueneza dini, changamoto alizokumbana nazo yeye na masahaba wake katika kulingania dini na hatuwa walizozipitia.
Developer info