
Tenzi Za Rohoni
tenzi-za-rohoni
About App
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika
Developer info