Visa vya Mitume na Manabii
visa-vya-mitume-na-manabii
About App
Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa wanne baada ya kutawafu kwa Mtume Muhammad (s.a.w). Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia hizi kama zilivyotajwa kwenye quran.
Pia utaona historia za watu wa jamii mbalimbali zilizoangamizwa na Allah. Pia utajifunza historia za baadhi ya wajawema waliotajwa ndani ya Quran. Baada ya hapo ujajifunza historia ya baadhi ya watu waovu waliotajwa ndani ya Quran.
Developer info