
Twenzao
twenzao
About App
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta? Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi? Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva. Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo
Developer info